Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile azindua magari ya Fotton
Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile azindua magari ya Fotton
Imewekwa: 13 Nov, 2024
Serikali imewahakikishia wadau wa Sekta binafsi kuwa itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa kuboresha sheria na kanuni zinazosimamia biashara ili kuvutia wawekezaji wengi zaidi kuja kuwekuza Nchini.
Hayo yamesemwa jiiiji Dar es Salaam na Naibu wa Wizara ya Uchukuzi Davidi Kihenzile wakati wa Jaffa ya uzinduzi rasmi wa magari ya kampuni ya Foton kutoka china.